VOLKANO YALIPUKA JAPAN

Mapema mwisho wa wiki,Nchini japan katika mlima wa Sakurajima uliopo pembeni mwa jiji la Kagoshima,volkano kubwa ililipuka na kusababisha kutandaza moshi mzito katika jiji hilo.Moshi na vumbi lililosababishwa na mlipuko huo wa volkano ulifanya madereva wa magari kuwasha taa kutokana na giza nene la moshi huo.Vilevile wakazi wa jiji hilo walizazimika kujifunika na miamvuli ili kujikinga na vumbi hilo lililokuwa limetanda katika anga la jiji hilo.
Uongozi wa jiji hilo ulitoa taarifa kuwa hakuna madhara yoyote yaliyosababishwa na volkano hiyo



Share: