OBAMA ASHINDWA KUZUNGUMZA AKITANGAZA KIFO CHA MANDELA

Katika hali ya kushangaza wengi,raisi wa Marekani ashindwa kuzungumza wakati akitoa tamko kuhusiana nakifo cha Raisi wa zamani waAFRICA KUSINI

Habari zinasema kwamba wakati Obama akitoa tamko kwa vyombo vya habari nchini humo kuhusiana na kifo cha shujaa huyo alisita sita mara kadhaa kabla ya kutamka kuhusu kifo hicho cha Mandela.


Share: