Sijaelewa nini kinaendelea kwa hii post ya kala
Na masaa machache yaliyopita Diamond kapost hivi katika facebook
.......kiukweli, nasikitishwa sana jins baadhi ya wasanii kutwa
wanavyolazimisha kunitengenezea ugomvi wa kilazima pasipo kuwa na
sababu, mara wengine wakizusha eti Nimewatusi kwenye Media, Mara sjui
Nimepost kuwakashif, yaani ilimradi tu....kwanini Wanamuziki wa Tanzania
Tunashindwa kubadilika... mbona mi nahangaika na muziki wangu kimpango
wangu... Mnasema nyie ndio mnaojua kuimba mie sijui "sinatatizo"...
Mnasema nyie ndio wenye sauti nzuri yangu mbaya "Sina tatizo"... sasa
mbona tena bado mnanifatilia na kutokujua kwangu... Nafkiri ni vyema
mkaanza kutumia ujuzi wenu kukuza sanaa ya nchi yetu na kuleta heshima
na maendeleo nchini, kuliko kupika majungu..... Watu wanataka kazi