DAKIKA 52 SIKILIZA HII RNB NON STOP MIXING YA DJ DEO

Inakuwaje fans wangu ? Mi nashukuru kwa kuendelea kutembelea hii blog na kuona kazi mbali mbali nizifanyazo...
Hii mixing iliwekwa mtandaoni miezi 10 iliyopita na imepata kusikilizwa mara 282 na kudownloadiwa mara 39
Leo hii nimependa kuwaletea  mixing hiyo ya rnb... naomba tumia dakika zako 52 kuisikiliza na unaweza kuidownload pia ukaenayo nyumbani....
Maoni yako ushauri na sapoti pia nazipokea kwa WHATSAPP NAMBA +255 654575021

KARIBU SANA.....


Share: