FORM 4 RESULTS CONCERT PARTY-2014

NEW DECA INN HOTEL maeneo ya boko Tegeta inapenda kukualika wewe uliyemaliza form 4 mwaka jana katika party hii kubwa itakayofanyika siku ya alhamisi tarehe 13/03 kuanzia saa 1 jioni mpk kuchwee

Haijalishi uwe umefell au umefaulu pia haijalishi hata kama hujamaliza mwaka jana pia unakaribishwa kufurahi na mwenzako.Pata fursa ya kuonana na kukutana na mwenzako siku hiyo.

Michezo mbalimbali ya kukufanya uonyeshe kipaji chako itafanyika mapema zaidi katika kipengele cha SHOW US WHAT YOU GOT kwahiyo kwa wewe unaejua KUCHANA,KUIMBA,FASHION,SARAKASI hata KUCHEKESHA pia mnakaribishwa mapema zaidi ili kuweka ratiba sawa.

Kiingilio ni kidogo kabisa cha sh. 4000 na burudani za kutosha toka kwa madj wakali jijini mpaka kokorikooooooooo,.....

UNAOMBWA UKIPATA TANGAZO HILI MTAARIFU NA MWENGINE .

PARTY IMEDHAMINIWA NA

1.DECA INN HOTEL
2.www.deejaydeo.blogspot.com
3.CYCLONE NIGHT CLUB

KWA MAELEZO ZAIDI CHECK HII 0654575021 KWA WHATSAPP PEKEE
AU 0713811331 SMS NA KUPIGA






Share: