1.Daraja linalounganisa Lindi na Mtwara au Dar na Mtwara lililopo Mikindani limeharibiwa vibaya sana.
2.Na taarifa ambazo bado hazijathibitishwa ni kuwa idadi ya watu 10 wanaripotiwa kupoteza maisha yao katika pulukushani hizo.
3.Gari la jeshi,lililokuwa limebeba wanajeshi kuwapeleka eneo la tukio ili kutuliza ghasia limepinduka na kuuwa wanajeshi 3 na wengine wakiwa ni majeruhi wenye hali mbaya.
Jitihada za kumtafuta kamanda wa polisi mkoani Mtwara ziliginga mwamba kutokana na mawasiliano kuwa magumu.
4.Mbwa wa polisi kutoka ruvuma wawasili Mtwara ili kuongeza nguvu ya ulinzi na kutuliza ghasia eneo hilo.
HIZI NI PICHA MBALIMBALI ZA TUKIO LA MTWARA HII LEO