PARIS HILTON AJIUNGA YOUNG MONEY

Msanii machachari wa miondoko ya house nchini Marekani Paris Hilton amefanikiwa kusaini mkataba na kundi la YOUNG MONEY/CASH MONEY.Mwanadada huyo ambaye amejiunga na kundi hilo mapema wiki hii amesema kuwa ataendelea kufanya kazi katika kundi hilo kwa kutoa nyimbo zenye mahadhi ya house.
Birdman nae aendelea kueleza kuwa kuna msanii mwngine japo kuwa bado hajasaini mkababa lakini ni sehemu ya CASH MONEY ambaye ni FUTURE.

PICHANI NI MWANADADA PARIS HILTON


Share: