MADJ KENYA WAGOMA KULIPIA WANAPOPIGA NYIMBO ZA KIKENYA

Skendo hii imeanzia hivi karibuni kufuatia kuzaga kwa taarifa kuwa wasanii wa kenya wanadai kulipwa pindi nyimbo zao zinapochezwa na madj nchini humo.Hali ambayo imeleta mtafaruku mkubwa kati ya madj wa kenya na wasanii na kuna fununu ya kuwa baadhi ya madj wa kenya wamefuta kabisa nyimbo za wasanii wa kenya katika vifaa vyo vya kuhifadhia nyimbo zao.
Hata kufikia madj wengine mfano wa redio kuacha kabisa kucheza nyimbo za wasanii wa kenya na badala yake wanacheza nyimbo za mataifa mengine kama vile Tanzania,Nigeria,Uganda n.k

Hali imekkuwa tete zaidi kufuatia maoni mbalimbali kutoka katika kikundi kubwa la madj ambalo lipo katika mtandao wa facebook.

Hizi ni baadhi ya post za hivi karibuni kufuatia sakata hilo huko nchini kenya......Deejay Shock
June 21 at 3:18am
I am wondering if artistes are aware of how serious the licence issue is to their own livelihood. Several Djs have deleted their whole Kenyan music collections, some are issuing disclaimers that they will no longer accept music submissions from Kenyan artistes, the hashtag going round now seems to be ‪#‎RIPKenyanMusic‬.
If the artistes understood what was happening, wouldn't they speak to these collecting bodies about the effect they are having on the artiste by harrassing Djs?Vinnie DjKrypt
Yesterday at 4:46am
‪#‎KenyanArtists‬.......Are you serious?......you walk into my booth with ya cd in ya hands, give it and plead with me to help you push for it so that people can listen to it, you later turn against me and wants me too to pay you for marketing ya music in the name of collecting royalties......How much royalty did you pay me to push it for you.......‪#‎asanteyapunda‬ ni mateke......‪#‎RIPKenyanMusic‬


Steve Karimi
June 21 at 4:07am
my fellow deejayz kindly give me advice on what to do with kenyan music coz clearly i dont want trouble.BOFYA HAPA UINGIE GROUP LA FACEBOOK KUSOMA ZAIDI

Popular posts from this blog